TANGAZO


Monday, August 5, 2013

Mahafali ya Shule ya Awali na Msingi ya Fountain Gate Academy Tabata jijini Dar es Salaam



Baadhi ya wanafunzi wanaohitimu masomo yao ya Elimu ya Msingi, wakiwa katika mahafali yao ya kwanza ya shule ya Awali na Msingi ya Fountain Gate Academy, Tabata Sigara, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Baadhi ya wanafunzi hao, wanaohitimu masomo yao ya Elimu ya Msingi, wakijadili jambo wakati wa mahafali yao ya kwanza ya shule ya Awali na Msingi ya Fountain Gate Academy, Tabata Sigara, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya wanafunzi wa kike, wanaohitimu masomo yao ya Elimu ya Msingi, wakijadili jambo wakati wa mahafali yao ya kwanza ya shule ya Awali na Msingi ya Fountain Gate Academy, Tabata Sigara, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya wanafunzi wanaohitimu masomo yao ya Elimu ya Msingi, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mahafali yao ya kwanza ya shule ya Awali na Msingi ya Fountain Gate Academy, Tabata Sigara, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya wanafunzi wanaohitimu masomo yao ya Elimu ya Msingi, wakiwa katika picha ya pamoja, wakifurahia jambo wakati wa mahafali yao ya kwanza ya shule hiyo ya Awali na Msingi ya Fountain Gate Academy, Tabata Sigara, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya wanafunzi wanaohitimu masomo yao ya Elimu ya Awali, wakiwa katika  mahafali ya pamoja na wahitimu wa kwanza wa Elimu ya Msingi wa shule hiyo, ya Awali na Msingi ya Fountain Gate Academy, Tabata Sigara, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya wanafunzi wanaohitimu masomo yao ya Elimu ya Awali, wakiwa katika  mahafali ya pamoja na wahitimu wa kwanza wa Elimu ya Msingi wa shule hiyo, ya Awali na Msingi ya Fountain Gate Academy, Tabata Sigara, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya wanafunzi wanaohitimu masomo yao ya Elimu ya Awali, wakiwa darasani mwao kujiandaa na mahafali yao, pamoja na wahitimu wa kwanza wa Elimu ya Msingi wa shule hiyo, ya Awali na Msingi ya Fountain Gate Academy, Tabata Sigara, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya wanafunzi wanaohitimu masomo yao ya Elimu ya Awali, wakiwa katika  mahafali yao hayo, shuleni kwao, Fountain Gate Academy, Tabata Sigara, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi Mkuu wa shule hiyo ya Fountain Gate Academy,  Japhate Makao, akizunguza na waandishi wa habari, wakati wa mahafali ya kwanza ya wanafunzi wanaohitimu Elimu ya Msingi shuleni hapo,Tabata Sigara, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya wazazi na walimu wa shule hiyo, wakiwa katika mahafali hayo mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya wazazi na walimu wa shule hiyo, wakiwa katika mahafali hayo mwishoni mwa wiki, wakijadiliana jambo.
Baadhi ya wazazi wa wahitimu wa shule hiyo, wakiwa katika mahafali hayo mwishoni mwa wiki, wakijadiliana jambo.
Baadhi ya wazazi wa wahitimu wa shule hiyo, wakiwa katika mahafali hayo mwishoni mwa wiki, wakijadiliana jambo.

No comments:

Post a Comment