Bingwa wa zamani ngumi duniani, bondia Francois Botha wa Afrika Kusini, akiwa na muuandaaji wa pambano kati ya Francis Cheka na Mmarekani, Williams, J. Msangi (katikati). Kulia ni Rais wa Shirikisho la Ndondi, Howard
Goldberg. (Picha zote na Lorietha Laurence-Maelezo)
Tuesday, August 27, 2013
Bondia Botha awasili nchini kushuhudia pambano la ngumi la Kimataifa kati ya Cheka na Mmarekani, William
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juliana Yassoda akiwa na Bondia wa Dunia wa uzito wa juu, Francois Botha alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere leo, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuhudhuria pambano la ndondi litakalofanyika 30 Agosti, mwaka huu, ukumbi
wa Diamond Jubilee.
Bondia wa Dunia wa uzito wa juu, Francois Botha akionesha jinsi
ya kupambana alipowasili leo, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini leo. Kulia ni Yasini Abdalla, Rais wa Shirikisho la Ndondi nchini (TPB) na kushoto ni mdau wa ndondi, aliyefika uwanjani hapo.
Bondia wa Dunia wa uzito wa juu, Francois Botha akionesha
moja ya mikanda yake aliyoishinda kwa muuandaaji wa pambano hilo, J. Msangi (katikati), uwanjani hapo leo. Kulia ni Rais wa Shirikisho la Ndondi, Howard Goldberg.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment