TANGAZO


Saturday, August 24, 2013

Balozi Sefue ashiriki Bonanza la wafanyakazi

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kulia) akikimbia katika bonanza maalum la wafanyakazi leo, jijini Dar es Salaam. Balozi Sefue alikuwa mgeni rasmi katika bonanza hilo, ambalo limeandaliwa mahususi kwa ajili ya maandalizi ya mashindano ya SHIMIWI yanayotarajia kufanyika kuanzia tarehe 21 Septemba 
hadi 5 Oktaba huko mjini Dodoma. Kushoto kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi Sihaba Nkinga, akifuatiwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa Elisante Ole Gabriel.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kulia) akifanya moja ya mazoezi yaliyokuwa yanatolewa katika bonanza maalum la wafanyakazi leo jijini Dar es Salaam.Balozi Sefue alikuwa mgeni rasmi katika bonanza hilo ambalo limeandaliwa mahususi kwa ajili ya maandalizi ya mashindano ya SHIMIWI yanayotarajia kufanyika kuanzia tarehe 21 Septemba hadi 5 Oktaba huko mjini Dodoma.Kushoto kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bibi Sihaba Nkinga. 
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kulia) akifanya moja ya mazoezi yaliyokuwa yanatolewa katika bonanza maalum la wafanyakazi leo jijini Dar es Salaam.Balozi Sefue alikuwa mgeni rasmi katika bonanza hilo ambalo limeandaliwa mahususi kwa ajili ya maandalizi ya mashindano ya SHIMIWI yanayotarajia kufanyika kuanzia tarehe 21 Septemba hadi 5 Oktaba huko mjini Dodoma. Kushoto kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi Sihaba Nkinga. (Picha zote na Frank Shija - Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo)

No comments:

Post a Comment