TANGAZO


Tuesday, July 16, 2013

Naibu Waziri wa Elimu, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Kassim Majaliwa, akaa kikao na Watendaji wa Mkoa, kujadili Hali ya Elimu na Changamoto zake, mkoani Dar es Salaam

Ofisa Elimu Mkoa wa Dar es Salaam, Raymond Mapunda, akizungumza katika kikao cha Naibu Waziri wa Elimu, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Kassim Majaliwa (kushoto) na Watendaji wa Mkoa katika kujadili hali ya Elimu na changamoto za Elimu, jijini mwini mwa wiki. Katikati ni Katibu Tawala Mkoa, Theresia Mmbando. (Picha zote na Kassim Mbaroukwa www.bayana.blogspot.com )
Baadhi ya watendaji wakiwa katika kikao hicho wakisikiliza Taarifa ya Elimu ya Sekondari mkoani Dar es Salaam, iliyokuwa ikiwasilishwa na Ofisa Elimu Sekondari, Germana Mng'ao.
Naibu Waziri wa Elimu, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Kassim Majaliwa (katikati), akisikiliza taarifa hiyo, iliyokuwa ikisomwa na Ofisa Elimu Sekondari, Germana Mng'ao. Kulia ni Katibu Tawala Mkoa, Theresia Mmbando na kushoto ni Mkurugenzi wa Elimu TAMISEMI, Bernard Makali.
Naibu Waziri wa Elimu, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Kassim Majaliwa (kushoto), akisikiliza taarifa hiyo, iliyokuwa ikisomwa na Ofisa Elimu Sekondari, Germana Mng'ao. Katikati ni Katibu Tawala Mkoa, Theresia Mmbando na kulia ni Ofisa  Elimu Mkoa, Raymond Mapunda.
Mkurugenzi wa Elimu TAMISEMI, Bernard Makali, akizungumza katika kikao hicho.
Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando, akizungumza katika kikao hicho cha kujadili hali ya Elimu Mkoa wa Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Waziri wa Elimu, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Kassim Majaliwa na kulia ni Ofisa  Elimu Mkoa, Raymond Mapunda.
Ofisa Elimu Sekondari, Germana Mng'ao, akisoma taarifa ya hali ya Elimu kwa upande wa Sekondari pamoja na changamoto zake katika kikao hicho. Naibu Waziri wa Elimu, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Kassim Majaliwa.
Ofisa Elimu Msingi, Elizabeth Thomas, akisoma taarifa ya hali ya Elimu ya Msingi na changamoto zake katika kikao hicho. Kushoto ni Naibu Waziri wa Elimu, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Kassim Majaliwa na anayemsaidia ni Ofisa Vifaa na Takwimu, Wema Kajigile.
Ofisa Elimu Msingi, Elizabeth Thomas, akisoma taarifa ya hali ya Elimu ya Msingi na changamoto zake katika kikao hicho. Kushoto, anayemsaidia ni Ofisa Vifaa na Takwimu, Wema Kajigile.
Naibu Waziri wa Elimu, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Kassim Majaliwa, akizungumza katika kikao hicho. Kulia ni Katibu Tawala Mkoa, Theresia Mmbando.
Naibu Waziri wa Elimu, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Kassim Majaliwa, akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa kikao hicho.

No comments:

Post a Comment