TANGAZO


Friday, June 28, 2013

Waziri wa Utumishi, Celina Kombani afungua mkutano wa mwaka wa Makatibu Tawala wa Wilaya, mjini Dodoma


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani akiufungua Mkutano wa Mwaka wa Makatibu Tawala wa Wilaya, unaofanyika mjini Dodoma leo.

 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani akiufungua mkutano huo, leo mjini   Dodoma.

Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Mwaka wa Makatibu Tawala wa Wilaya, wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani alipokuwa akiufungua mkutano huo, mjini Dodoma leo.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rehema Nchimbi akiongea na Makatibu Tawala wa Wilaya (hawapo pichani), mara baada ya ufunguzi wa mkutano wao, unaofanyika mjini Dodoma leo. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, HAB Mkwizu na kulia ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Dodoma, Jumanne Ngede.
Washiriki wa Mkutano wa mwaka wa Makatibu Tawala wa Wilaya, wakifanya zoezi la kupasha lililoongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rehema Nchimbi (hayupo pichani) katika mkutano huo, unaofanyika mjini Dodoma leo. (Picha zote na mpigapicha wetu)

No comments:

Post a Comment