TANGAZO

Friday, June 28, 2013

Voda yamkabidhi mmoja wa washindi 5 wa Cheka Nao kitita chake

Mmoja wa washindi 5 wa droo kubwa ya Promosheni ya Cheka Nao, Isaya Sengo, mkazi wa Makunguru Mbeya, ambao wamejishindia sh. milioni 2 kila mmoja, kwenye Promosheni hiyo, inayowawezesha  wateja kuongea na mitandao yote bila mipaka kwa bei nafuu, akimuonesha Meneja wa Vodacom, Kanda ya Nyanda za Juu, Kusini Elisha Tengeni (kulia), meseji ya M-PESA yenye Tsh milioni 2 alizotumiwa kwa kushinda katika promosheni hiyo, kabla ya kuzitoa. Ili kujiunga na promosheni hiyo, wateja wanatakiwa kupiga *149*01#. 
Mshindi wa droo kubwa ya Promosheni ya Cheka Nao, Isaya Sengo-mkazi wa Makunguru Mbeya, ambaye ni mshindi, kati ya washindi 5 waliojishindia shilingi Milioni 2 kila mmoja, kwenye Promosheni hiyo, inayowawezesha  wateja kuongea na mitandao yote bila mipaka kwa bei nafuu, akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani), meseji ya M-PESA, yenye Tsh milioni 2 alizotumiwa kwa kushinda katika promosheni hiyo, kabla ya kuzitoa. Anayeshuhudia ni Meneja wa Vodacom, Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Elisha Tengeni. Ili kujiunga na promosheni hiyo wateja wanatakiwa kupiga *149*01#.
Meneja wa Vodacom Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Elisha Tengeni (kulia), akimkabidhi Tsh milioni 2, mshindi wa droo kubwa ya Promosheni ya Cheka Nao, Isaya Sengo-mkazi wa Makunguru Mbeya, ambaye ni mshindi kati ya washindi 5 waliojishindia shilingi milioni 2 kila mmoja, baada ya kuzitoa kwenye M PESA, alizotumiwa toka Makao Makuu ya Vodacom kwa ushindi wake kwenye Promosheni hiyo,  inayowawezesha  wateja kuongea na mitandao yote bila mipaka kwa bei nafuu. Ili wateja kujiunga na promosheni hiyo wanatakiwa kupiga *149*01#.

Meneja wa Vodacom  kanda ya Nyanda za juu Kusini, Elisha Tengeni  (kulia), akimkabidhi Tsh milioni 2  Mshindi wa droo kubwa ya Promosheni ya Cheka Nao. Ili wateja kujiunga na promosheni hiyo wanatakiwa kupiga *149*01#.
Meneja wa Vodacom Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Elisha Tengeni (kulia), akimkabidhi Tsh milioni 2, mshindi wa droo kubwa ya Promosheni ya Cheka Nao, Isaya Sengo-mkazi wa Makunguru Mbeya, ambaye ni mshindi kati ya washindi 5 waliojishindia shilingi milioni 2 kila mmoja, baada ya kuzitoa kwenye M PESA. Ili wateja kujiunga na promosheni hiyo wanatakiwa kupiga *149*01#.

No comments:

Post a Comment