TANGAZO

Saturday, June 22, 2013

Redd's Miss Temeke, watembelea Mgahawa wa City Lounge

Warembo wa shindano la kumsaka Redd's Miss Temeke 2013, wakipata chakula kwenye Mgahawa wa City Sport Lounge, wakati walipoalikwa kutembelea mgahawa huo, pamoja na kupata chakula cha jioni usiku wa kuamkia leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-bayana.blogspot.com)
Hapa warembo hao, wakipata msosi huo, na kupozi kwa ajili ya picha ndani ya Mgahawa huo wa kisasa jijini Dar es Salaam
Warembo wakipata msosi na kubadiulishana mawazo ndani ya Mgahawa wa City Sport Lounge usiku wa kuamkia leo.
Hawa wakipozi kwa picha baada ya kujichana kwa msosi wa nguvu ndani ya City Sport Lounge.
Ilikuwa ni raha tupu kwa warembo hao wa Redd's Miss Tameke 2013, ndani ya Mgahawa huo, unaopikwa vyakula vya kisasa nchini.
Warembo hapa wakipozi kwa tabasamu la nguvu ndani ya Mgahawa wa City Sport Lounge baada ya kupata chakula cha jioni. 
Warembo wakipozi kwa picha ndani ya Mgahawa huo baada ya kupata chakula cha jioni ndani ya Mgahawa huo wa kileo kabisa. 
Warembo wa shindano la kumsaka Redd's Miss Temeke 2013, wakipozi kwa picha ndani ya Mgahawa wa City Lounge, wakati walipoalikwa kutembelea mgahawa huo pamoja na kupata chakula cha jioni usiku wa kuamkia leo. 

Hapa wakiwa wamepozi kwa picha ya kumbukumbu ndani ya Mgahawa huo wa City Sport Lounge.

Ilikuwa ni mapozi ya kila aina kwenye Mgahawa huo kwa warembo hao wa Redd's Miss Temeke 2013.
Hapa warembo wakizirudi ngoma zilizokuwa zikiporomoshwa kwa ajili yao tu kwenye ukumbi huo wa kileo kabisa.
Hapa mwandaaji wa Redd's Miss Temeke, Beny Kisaka (kushoto),  akiwa na wadau wa mashindano ya urembo, wakifuatilia matukio yaliyokuwa yakitendeka kwenye Mgahawa huo, wakati warembo hao wakilisakata rhumba ndani ya Mgahawa huo, wa City Sport Lounge, jijini Dar es Salaam.
Ilikuwa ni kumwaya mwaya tu kwa warembo hao kulisakata rhumba kila kona ya Mgahawa huo, jioni hiyo.
Hivi ndivyo warembo wa Redd's Miss Temeke 2013, walivyokuwa wakiserebuka na ngoma zilizokuwa zikiporomoshwa ndani ya Mgahawa huo.
Cheza cheza mama wee cheza cheza mama wee, kila mtindo wa kuchezo ngoam hizo, ulikuwa ukionesha na warembo hao.
Warembo waliendelea kusakata ngoma kwenye ukumbi huo, huku wakipata vyakula pamoja na vinywaji baridi kwenye ukumbi huo wa maraha.
Mratibu wa shindano la Redd's Miss Ilala, Juma Mabakila akizirudi ngoma pamoja wa walimu wa warembo hao katika hafla hiyo.
Cheza cheza mama,cheza leo cheza, kibao kata cheza, sindimba cheza na msondo cheza, mpaka asubuhi cheza ngoma, warembo hao wakiserebuka kwa staili mbalimbali kwenye ukumbi wa Mgahawa huo.

Warembo wa shindano la kumsaka Redd's Miss Temeke 2013, wakipozi kwa picha ya pamoja ndani ya Mgahawa wa City Lounge, wakiwa kwenye Mgahawa wa City Sport Lounge jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamkia leo. 

No comments:

Post a Comment