Askari wa jiji la Accra wakiwa mbele na gari leo kuhakikisha usalama wa washiriki kutoka nchi mbalimbali za Afrika zipatazo 20 wakati wa Maandamano na mbio fupi kuadhimisha Siku ya Utumishi wa Umma Barani Afrika katika mtaa Mkuu wa Opera, maarufu kwa jina la High Street Opera Square Ministries, jijini Accra.
Soko maarufu la Makola jijini Accra, bidhaa zikiwa zimepangwa kila kona.
Kariakoo ya Ghana!!, maarufu MAKOLA pilikapilika za wachuuzi na wanunuzi zikiendelea. Yanayoonekana kwa mbali ni madafu ya kukata kiu.
Moja ya mabango ya maduka ya bidhaa za Elekroniki sokoni hapo, likiwa na baadhi ya maneno yanayosomeka kwa lugha ya Kiswahili kwa kutohoa kutoka lugha ya Kiingereza, ubunifu huo!!
No comments:
Post a Comment