TANGAZO


Sunday, June 23, 2013

Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal aongoza kikao cha pamoja cha Mawaziri na viongozi waandamizi wa SMZ na SMT, mjini Dodoma leo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiongoza Kikao cha Mawaziri na viongozi waandamizi wa Serikali ya Zanzibar (SMZ) na wa Serikali ya Tanzania (SMT), kiliochofanyika Dodoma Hoteli, leo Juni 23, 2013. Kulia ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, na kushoto ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd. (Picha zote na OMR)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiongoza Kikao cha Mawaziri na viongozi waandamizi wa Serikali ya Zanzibar (SMZ) na wa Serikali ya Tanzania (SMT), kiliochofanyika Dodoma Hoteli, leo Juni 23, 2013. Kulia ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, na kushoto ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd.
Baadhi ya Mawaziri na viongozi waandamizi wa Serikali ya Zanzibar wakiwa katika kikao hicho na wenzao wa Tanzania Bara, mjini Dodoma leo.
Baadhi ya Mawaziri na viongozi waandamizi wa Serikali za Zanzibar wakishiriki katika kikao hicho, mjini Dodoma leo.
Baadhi ya Mawaziri na viongozi waandamizi wa Serikali za Zanzibar na wa Tanzania Bara, wakishiriki katika kikao hicho, mjini Dodoma leo.
Baadhi ya Mawaziri na viongozi waandamizi wa Serikali za Zanzibar na wa Tanzania Bara, wakishiriki katika kikao hicho, mjini Dodoma leo.
Baadhi ya Mawaziri na viongozi waandamizi wa Serikali za Zanzibar na wa Tanzania Bara, wakishiriki katika kikao hicho, mjini Dodoma leo.
Baadhi ya Mawaziri na viongozi waandamizi wa Serikali ya Tanzania Bara, wakishiriki kpamoja na ndugu zao wa Zanzibar katika kikao hicho, mjini Dodoma leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, leo ameongoza Kikao cha SMT na SMZ, kilichofanyika kwenye ukumbi wa Dodoma Hoteli, mjini Dodoma, leo Juni 23. Kikao hicho kimehudhuriwa pia na Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amani, Ali Juma Shamhuna na Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu Hassan pamoja na washiriki wa kikao hicho, Mawaziri kutoka serikali zote mbili za Tanzania Bara na Zanzibar.

No comments:

Post a Comment