Meneja Mradi wa maandalizi ya mkutano wa Kimataifa wa Majadiliano kwa manufaa ya Wote (Smart Pertinership), Rosemary Jairo akitoa ufafanuzi kwa Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao kuhusu maendeleo na maandalizi ya mkutano huo wa kimataifa utakaofanyika mwezi June jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwemo marais 10 kutoka nchi zilizoendelea.
Sehemu ya mabalozi wakifuatilia hatua mbalimbali za maandalizi ya mkutano wa Kimataifa wa Majadiliano kwa manufaa ya Wote (Smart Pertinership) na mchango wao katika kuhamasisha ushiriki wa nchi wanazotoka katika mkutano huo. Zaidi ya washiriki 500 wanatarajiwa kwenye mkutano huo utakaojadili kwa kina matumizi ya Sayansi na Teknolojia katika kuleta Maendeleo kwa nchi zinazoendelea.

Meneja Mradi wa mkutano wa Kimataifa wa Majadiliano kwa manufaa ya Wote (Smart Pertinership) Rosemary Jairo akitoa ufafanuzi kwa mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao leo jijini Dar es salaam kuhusu maendeleo na maandalizi ya mkutano huo utakaohudhuriwa na wachumi, wanasayansi na viongozi mbalimbali wa serikali kutoka ndani na nje ya nchi.
No comments:
Post a Comment