TANGAZO


Saturday, May 18, 2013

Rais Kikwete akutana na Askofu Mkuu wa Canterbury mjini Dodoma

 
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Askofu Mkuu wa Canterbury, Justin Portal Welby katika ukumbi wa St. Gaspar mjini Dodoma leo. (Picha zote na Freddy Maro)
 


Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Askofu Mkuu wa Canterbury, Justin Portal Welby muda mfupi baada ya kufanya naye mazungumzo katika ukumbi wa St. Gaspar, mjini Dodoma. Askofu huyo alishiriki katika ibada ya kutawazwa kwa Askofu Mkuu mpya wa Kanisa la Anglikana nchini Tanzania, Dk. Jacob Erasto Chimeledya.

No comments:

Post a Comment