MSHINDI WA TAJI LA MISS UTALII TANZANIA 2012/13 HADIJA SAID 'MISS UTALII MOROGORO' (KATIKATI), AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA LUCY NOEL MISS UTALII DAR ES SALAAM (KUSHOTO) NA MSHINDI WA TATU, THERESIA KILOMO (KULIA), MISS UTALII VYUO VIKUU. (PICHA NA MPIGAPICHA WETU)
MSHINDI WA TAJI LA MISS UTALII TANZANIA 2012/13, HADIJA SAID, MISS UTALII MOROGORO, AKIVISHWA TAJI LA USHINDI NA MGENI RASMI KWA NIABA YA MKUU WA MKOA WA TANGA LUTENI KANALI MSTAAFU CHIKU GALAWA, MKUU WA WILAYA YA TANGA HALIMA BENDEGO.
KUTOKA KUSHOTO NI MISS UTALII, KUTOKA MKOA WA KATAVI, ASHA RAMADHANI, ALIYE SHINDA NAFASI YA NNE, LUCY NOEL MISS UTALII DAR ES SALAAM, ALIYESHINDA NAFASI YA PILI, MISS UTALII MOROGORO KHADIJA SAID AMBAYE NDIYE MISS UTALII TANZANIA 2012/13, MISS UTALII VYUO VIKUU THERESIA KILOMO.
KUTOKA KUSHOTO NI MISS UTALII KUTOKA MKOA WA KATAVI, ASHA RAMADHANI ALIYE SHINDA NAFASI YA NNE, LUCY NOEL MISS UTALII DAR ES SALAAM, ALIYESHINDA NAFASI YA PILI, MISS UTALII MOROGORO, KHADIJA SAID AMBAYE NDIYE MISS UTALII TANZANIA 2012/13, MGENI RASMI KWA NIABA YA MKUU WA MKOA WA TANGA, LUTENI KANALI MSTAAFU CHIKU GALAWA, MKUU WA WILAYA YA TANGA HALIMA BENDEGO, MISS UTALII VYUO VIKUU THERESIA KILOMO NA MISS UTALII SINGIDA MWAKOMBO KESSY, ALIYESHINDA NAFASI YA TANO.
WASHIDI WA TANO BORA WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA VIONGOZI WA SERIKALI MKOA WA TANGA.
No comments:
Post a Comment