Baadhi ya wachezaji wa timu ya AS FAR Rabat ya Morocco, wakitoka ndani ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jana, mara baada ya kuwasili nchini kwa ajili ya mchezo wao na Azam FC katika mpambano wa Kombe la Shirikisho barani Afrika, utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Jumamosi hii.
Wachezaji wa timu ya AS FAR Rabat ya Morocco, wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jana, mara baada ya kuwasili nchini.
Wachezaji wa timu ya AS FAR Rabat ya Morocco, wakizungumza jambo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jana, mara baada ya kuwasili nchini kwa ajili ya mchezo wao na Azam FC katika mpambano wa Kombe la Shirikisho barani Afrika, utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Jumamosi hii.
Baadhi ya wachezaji wa timu ya AS FAR Rabat ya Morocco, wakiwa nje ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jana, mara baada ya kuwasili uwanjani hapo kwa ajili ya mchezo wao na Azam FC katika mpambano wa Kombe la Shirikisho barani Afrika, utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Jumamosi hii.
Baadhi ya wachezaji wa timu ya AS FAR Rabat ya Morocco, wakielekea kwenye magari yaliyotayarishwa kwa ajili ya kuwabeba na kuwapeleka Hotelini watakakofikia kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wao na Azam FC katika mpambano wa Kombe la Shirikisho barani Afrika, utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Jumamosi hii.
Baadhi ya wachezaji na Maofisa wa timu ya AS FAR Rabat ya Morocco, wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jana, mara baada ya kuwasini nchini kwa ajili ya mchezo wao na Azam FC katika mpambano wa Kombe la Shirikisho barani Afrika, utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Jumamosi hii.
Baadhi ya Maofisa na viongozi wa timu ya AS FAR Rabat ya Morocco, wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jana, mara baada ya kuwasili na timu hiyo, kwa ajili ya mchezo wao na Azam FC katika mpambano wa Kombe la Shirikisho barani Afrika, utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Jumamosi hii.
Baadhi ya wachezaji wa timu ya AS FAR Rabat ya Morocco, wakijadiliana jambo mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jana, kwa ajili ya mchezo wao na Azam FC katika mpambano wa Kombe la Shirikisho barani Afrika, utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Jumamosi hii.
Kapteni wa timu ya AS FAR Rabat ya Morocco, Youness Ballakhadar , akizungumza na waandishi wa habari, mara baada ya timu hiyo, kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jana, kwa ajili ya mchezo wao na Azam FC katika mpambano wa Kombe la Shirikisho barani Afrika, utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Jumamosi hii.
Wachezaji wa timu ya AS FAR Rabat ya Morocco, wakiingia kwenye basi la Hoteli ya Sapphire, mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jana, kwa ajili ya mchezo wao na Azam FC katika mpambano wa Kombe la Shirikisho barani Afrika, utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Jumamosi hii.
Wachezaji wa timu ya AS FAR Rabat ya Morocco, wakiingia kwenye basi la Hoteli ya Sapphire, mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jana, kwa ajili ya mchezo wao na Azam FC katika mpambano wa Kombe la Shirikisho barani Afrika, utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Jumamosi hii.
Wachezaji wa timu ya AS FAR Rabat ya Morocco, wakiingia kwenye basi la Hoteli ya Saphire, mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jana, kwa ajili ya mchezo wao na Azam FC katika mpambano wa Kombe la Shirikisho barani Afrika, utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Jumamosi hii.
Baadhi ya Maofisa na viongozi wa timu ya AS FAR Rabat ya Morocco, wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jana, mara baada ya kuwasili na timu hiyo, kwa ajili ya mchezo wao na Azam FC katika mpambano wa Kombe la Shirikisho barani Afrika, utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Jumamosi hii.
Mchezaji Mustafa Mrani wa AS FAR Rabat ya Morocco, akionesha ishara ya mabao 3-0, mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jana, idadi ambayo wanatarajia kuifunga timu ya Azam FC katika mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika, utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Jumamosi hii.
















No comments:
Post a Comment