Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ambaye pia ni Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, akifungua pazia kuweka jiwe la msingi la Tawi la chama hicho, Ndijani Kongo A, akiwa katika ziara ya kuimarisha chama chake hicho, Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo. (Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu)
Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliofurika katika Viwanja vya Mpira vya Ndijani Mseweni, wakimsikiliza Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizungumza nao, akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama, Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ambaye pia ni Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, akimkabidhi kadi mwanachama mpya wa CCM, Waridi Mikidadi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Ndijani, Mseweni, Jimbo la Chwaka, akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama, Mkoa wa Kusini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ambaye pia ni Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, akimkabidhi kadi mwanachama mpya wa CCM, Saria Abdalla, katika mkutano wa hadhara uliofanyika Ndijani, Mseweni, Jimbo la Chwaka, akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama, Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja leo.
Wanachama wapya waliojiunga na CCM, wakila kiapo cha utii kwa Chama cha Mapinduzi, baada ya kukabidhiwa kadi zao, ambapo kwa Wilaya ya Kati, waliokabidhiwa kadi ni wanachama 787 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ambaye pia ni Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama,Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja leo.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Kusini Unguja, Ramadhan Abdalla Ali, akizungumza machache na wanachama pamoja na wananchi wa Ndijani, Mseweni, Jimbo la Chwaka katika mkutano wa hadhara, uliohutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ambaye pia ni Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, akiwa katika zaiara ya Kuimarisha Chama, Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ambaye pia ni Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, akivalishwa shada la mauwa na Chipukizi wa Chama hicho, Cleopatra Saidi Omar wa Dunga Wilaya ya Kati, alipoanza ziara ya Chama chake katika Wilaya hiyo leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ambaye pia ni Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, akisalimiana na viongozi wa CCM, Mkoa wa Kusini Unguja, alipowasili Dunga katika Ofisi Kuu ya Chama hicho, Wilaya ya Kati akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama, Mkoa wa Kusini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ambaye pia ni Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, akipokea taarifa ya kazi za Chama, Wilaya ya Kati Unguja, kutoka kwa Katibu wa CCM Wilaya, Zainab Shomari, alipowasili Ofisi Kuu ya Chama, Wilaya huko Dunga, alipoanza ziara ya kuimarisha Chama chake hicho, Mkoa wa Kusini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ambaye pia ni Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, akifungua pazia kuweka jiwe la msingi la jengo la Ofisi ya CCM, Wadi ya Jumbi, Jimbo la Koani, Wilaya ya Kati Unguja, katika ziara za kuimarisha Chama, Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ambaye pia ni Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, akimkabidhi kadi mwanachama mpya wa CCM, Zawadi Ibrahim, katika sherehe ya uwekaji wa jiwe la msingi la jengo la Ofisi ya CCM, Wadi ya Jumbi, Jimbo la Koani, Wilaya ya Kati, Unguja katika ziara za kuimarisha Chama, Mkoa wa Kusini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ambaye pia ni Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, akimkabidhi kadi mwanachama mpya wa CCM, Uledi Maulid katika sherehe ya uwekaji wa jiwe la msingi la jengo la Ofisi ya CCM, Wadi ya Jumbi, Jimbo la Koani, Wilaya ya Kati, Unguja katika ziara za kuimarisha Chama, Mkoa wa Kusini Unguja leo.
Wanachama wapya wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Jumuiya zake, wakila kiapo cha utii baada ya kukabidhiwa kadi zao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ambaye pia ni Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Jimbo la Koani, Wilaya ya Kati, Unguja katika ziara za kuimarisha Chama, Mkoa wa Kusini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ambaye pia ni Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pamoja na viongozi wengine wakisikiliza risala ya wanachama wa Tawi la CCM, Mchangani, iliyosomwa na Katibu Mwenezi, Salum Hussein Khamis, baada ya Rais Shein, kuweka jiwe la msingi akiwa katika ziara za kuimarisha Chama, Mkoa wa Kusini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ambaye pia ni Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, akimkabidhi boksi lenye bomba la kumwagilia dawa, mkulima Dk. Kisinja Lubasha, katika sherehe ya uwekaji wa jiwe la msingi la Tawi la CCM, Mchangani, Jimbo la Uzini, Wilaya ya Kati katika ziara za kuimarisha Chama Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ambaye pia ni Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, akizungumza na wananchi pamoja na wanachama wa Tawi la CCM, Mchagani, baada ya kuweka jiwe la Msingi leo, akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama, Wilaya ya Kati leo.
No comments:
Post a Comment