Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akimpongeza Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko
wa Changamoto za Milenia (MCC), Daniel Wolde Johannes kwa hotuba
nzuri katika sherehe ya uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa
miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya
Serikali ya Marekani kupitia MCC juzi katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya
Kongwa mkoani Dodoma.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiondoka baada ya uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia MCC juzi, April 10, 2013 katika kijiji cha Mkoka, Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika sherehe za uzinduzi wa
mradi wa ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme
mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia MCC juzi, April 10, 2013 katika kijiji cha Mkoka, Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika sherehe za uzinduzi huo, wa
mradi wa ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika sherehe za uzinduzi huo, wa
mradi wa ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Afisa Mtendaji Mkuu wa
Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC), Daniel Wolde Johannes
aliyemponegza kwa hotuba nzuri ya uzinduzi wa mradi wa ukarabati na
upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya
ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia MCC juzi, April 10, 2013 katika
kijiji cha Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia huku Afisa Mtendaji Mkuu wa
Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC), Daniel Wolde Johannes na
Balozi wa Marekani nchini, Alfonso Lendhardt wakimponegza kwa
ishara hiyo ya uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa miundombinu
ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya serikali ya
Marekani kupitia MCC juzi, April 10, 2013 katika kijiji cha Mkoka, wilaya
ya Kongwa mkoani Dodoma.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akibofya kitufe huku akishuhudiwa na Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC), Daniel
Wolde Johannes na Balozi wa Marekani nchini, Alfonso Lendhardt
wakishuhudia uzinduzi huo wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa
miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya
Serikali ya Marekani kupitia MCC juzi, April 10, 2013 katika kijiji cha
Mkoka, Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilali
na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC),
Daniel Wolde Johannes katika picha ya pamoja na viongozi na wadau
mbalimbali katika sherehe ya uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa
miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya
Serikali ya Marekani kupitia MCC juzi, April 10, 2013 katika kijiji cha
Mkoka, Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma. (Picha zote na Ikulu)
No comments:
Post a Comment