Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi, Dk. Ali
Mohamed Shein, akizungumza na uongozi wa Wizara ya Mifugo
na Uvuvi, kuhusu utekelezaji wa kazi za wizara hiyo, kwenye
ukumbi wa mikutano wa Ikulu, mjini Zanzibar leo jioni. Kushoto ni
Makamo wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Shariff Hamadi. (Picha
na Ramadhan zote na Othman Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi, Dk. Ali
Mohamed Shein (katikati), akizungumza na uongozi wa Wizara ya
Mifugo na Uvuvi, kuhusu utekelezaji wa kazi za wizara hiyo,
kwenye ukumbi wa mikutano wa Ikulu, mjini Zanzibar leo jioni.
No comments:
Post a Comment