Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' (kulia), akioneshana uwezo wa kutupiana makonde na Abuu Mtambwe wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika kambi ya Ilala Amana CCM Dar es salaam Class anajiandaa na mpambano wake wa mei mosi na Amos Mwamakula utakaopigwa katika ukumbi wa PTA Saba saba. (Picha zote na Super D, Mnyamwezi)
|
No comments:
Post a Comment