| Waliokuwa Waziri wa Fedha na Uchumi, Basil Mramba (kushoto), Waziri wa Nishati na Madini, Daniel Yona (wa pili) na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Uchumi, Grey Mgonja (kulia), wakimsikiliza Wakili wa Mgonja, Profesa Leonard Shaidi, wakati walipofika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu kusikiliza kesi yao, inayowakabili ya kuisababishia Serikali hasara ya shilingi bil. 11.9, Dar es Salaam leo. (Picha na Kassim Mbarouk) |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
No comments:
Post a Comment