TANGAZO


Monday, February 4, 2013

Wabunge wa Upinzani walipoipinga hoja ya Maji kwa fujo, Bungeni leo jioni, hadi Bunge kuaghirishwa


Wabunge wa upande wa Upinzani walipopinga hoja ya Maji leo Bungeni, wakipiga kelele kwa kusema CCM, CCM, CCM.... kwa nguvu zote. (Picha zote na Mwanakombo Jumaa - Maelezo)
Wakiendelea kupiga kelele za CCM, CCM, CCM.... 
Mzozano ukiendelea huku wakiendelea pia kupiga kelele na kukitaja Chama Cha Mapinduzi (CCM),  CCM, CCM, CCM....
Wabunge Tundu Lisu (kulia) na mwenzake, Mchungaji Msigwa, wakiendelea na kelele hizo.

Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani, Mbunge Tundu Lissu, akitoka ndani ya ukumbi wa Bunge baada ya Naibu Spika, Job Ndugai kukiaghirisha kikao hadi kesho asubuhi.

Naibu Spika, Job Ndugai (kulia) akioneshwa makabrasha na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari baada ya kuahirishwa kikao hicho cha Bunge.

Naibu Spika, Job Ndugai (kushoto, na Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani, Mbunge Tundu Lisu, wakionekana kunyoosheana vidole, nje ya ukumbi wa Bunge baada ya naibu huyo, 
kuaghirisha kikao hicho cha Bunge hadi kesho asubuhi. Wa pili kushoto ni 
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na Mbunge, mchungaji 
Msigwa. 

No comments:

Post a Comment