Rais Dk. .Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mazungumzo na mwenyeji wake Rais Armando Emilio Guebuza wa Msumbiji katika Ikulu ya jijini Maputo leo. Rais Kikwete yupo Msumbiji kuhudhuria kikao cha viongozi wa Jumuiya ya Uchumi Kusini mwa Afrika (SADC) nchini humo.

No comments:
Post a Comment