Katibu wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Assaa Rashid (wa pili kulia), akitoa ufafanuzi kuhusu uhifadhi wa maoni ya maandishi yanayowasilishwa na wananchi katika tume kwa wadau wa Taasisi za Habari nchini, walipotembelea Ofisi za tume hiyo. Taasisi zilizotembelea Tume ya Katiba ni pamoja na Baraza la Habari Tanzania (MCT), Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari (MOAT), Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) na Jukwaa la Wahariri (TEF), leo leo, Januari 10, 2013, jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Tume ya Katiba)
|
No comments:
Post a Comment