TANGAZO


Thursday, January 10, 2013

Wafugaji watoa maoni yao Tume ya Katiba

Mmoja wa wawakilishi wa Kundi la Wafugaji, waliokutana na Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo, Alhamisi, Jan. 10, 2013, Esta Labani, akitoa maoni kuhusu Katiba Mpya katika Ofisi za Tume, jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Tume ya Katiba)
Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, wakifuatilia mkutano kati yao na wawakilishi wa Wafugaji, uliolenga kupata maoni ya kundi hilo, kuhusu Katiba Mpya. Kutoka kushoto ni Maria Kashonda, Dk. Senondo Mvungi na Yahya Msulwa.
Mmoja wa Wawakilishi wa Kundi la Wafugaji, waliokutana na Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo, Alhamisi, Jan. 10, 2013, Lilian Looloitai, akitoa maoni kuhusu Katiba Mpya katika Ofisi za Tume, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Adam Ole Mwarabu na kushoto ni Joseph Parsambei.
Baadhi ya Wawakilishi wa Wafugaji waliokutana na Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo, Alhamisi, Jan. 10, 2013, katika Ofisi za Tume, jijini Dar es Salaam, kutoa maoni yao, kuhusu Katiba Mpya, wakifuatilia mkutano.
Baadhi ya Wawakilishi wa Wafugaji waliokutana na Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo, Alhamisi, Jan. 10, 2013, katika Ofisi za Tume, jijini Dar es Salaam, kutoa maoni yao kuhusu Katiba Mpya wakifuatilia mkutano.

No comments:

Post a Comment