Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk. Salim Ahmed Salim, akizungumza katika mkutano na Viongozi wa Chama cha Kijamii (CCK), uliofanyika katika Viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam, wakati viongozi wa Chama hicho, walipowasilisha maoni yao, kuhusu Katiba Mpya leo, Jumanne, Januari 8, 2013.
|

No comments:
Post a Comment