Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akitoa maelekezo kwa Waziri wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli, Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe na Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa kabla hajahutubia, Jumatatu Mkutano Mkubwa wa hadhara mjini Nzega katika ziara yake ya siku nne ya Mkoa wa Tabora ambapo anazindua miradi kadhaa ya maendeleo, ikiwemo barabara, daraja na maji. (Picha zote na Ikulu)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akisikiliza maelezo ya Meneja wa TANESCO wa Nzega, akielezea mikakati ya kuwapatia wakazi wa hapo, nishati hiyo, Jumatatu mkutano mkubwa wa hadhara mjini Nzega katika ziara yake ya siku nne ya Mkoa wa Tabora ambapo anazindua miradi kadhaa ya maendeleo ,ikiwemo barabara, daraja na maji.
Umati wa wananchi ukiwa katika mkutano wa hadhara, uliohutubiwa na Rais Jakaya Kikwete, mkoani Tabora leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akipokea ripoti ya maendeleo ya Wilaya ya Uyui toka kwa Mkuu wa Wilaya hiyo, Lucy Mayenga, wakati Rais alipowasili Tabora mjini, kuendelea na ziara yake ya siku nne ya Mkoa huo, ambapo anazindua miradi kadhaa ya maendeleo, ikiwemo barabara, daraja na maji.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akipokea ripoti ya maendeleo ya Wilaya ya Tabora Mjini, toka kwa Mkuu wa Wilaya hiyo, Suleiman Kumchaya, wakati Rais alipowasili Tabora mjini kuendelea na ziara yake ya siku nne ya Mkoa wa huo, ambapo anazindua miradi kadhaa ya maendeleo, ikiwemo barabara, daraja na maji.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akipata maelezo ya ujenzi wa barabara ya Tabora-Ndono, kabla hajazindua rasmi ujenzi wa barabara hiyo, akiwa katika ziara yake ya siku nne ya Mkoa wa huo, ambapo anazindua miradi kadhaa ya maendeleo ikiwemo barabara, daraja na maji.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akikata utepe kuzindua rasmi ujenzi wa barabara hiyo, akiwa katika ziara yake ya siku nne ya Mkoa wa huo, ambapo anazindua miradi kadhaa ya maendeleo, ikiwemo barabara, daraja na maji.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akihutubia Jumatatu, mkutano mkubwa wa hadhara mjini Nzega, katika ziara yake ya siku nne ya Mkoa wa Tabora, ambapo anazindua miradi kadhaa ya maendeleo ikiwemo barabara, daraja na maji.









No comments:
Post a Comment