Kiongozi wa Kanisa la Waadventista Wasabato (SDA), Kanda ya Kusini, Dk. Joseph Bulongela, akitoa akitoa maoni ya taasisi yake kuhusu, Katiba Mpya katika mkutano na Tume ya Mabadiliko ya Katiba, uliofanyika ukumbi wa Karimjee, jijini Dar es Salaam leo, Ijumaa Januari 11, 2013.
|
No comments:
Post a Comment