Balozi wa Japan hapa nchini, Masaki Okada (kulia), akizungumza na waandishi wa habari (hawapo katika picha ), jijini Dar es Salaam leo, wakati wa kusaini mkataba huo kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa barabara mkoani Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa.
|
![]() |

Balozi wa Japan hapa nchini, Masaki Okada (kulia), akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo katika picha), jijini Dar es Salaam leo, picha ya muonekano wa mikutano ya TAZARA, mara baada barabara za juu kwa juu zitakapokamilika baada ya kusaini na Serikali ya Tanzania na kuipa msaada wa shilingi bilioni 28.2 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mitatu ya maendeleo. Kushoto ni Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa.
|
![]() | ||

Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa akizungumza na waandishi wa habari, mara baada ya kusaini yeye na Balozi wa Japan hapa nchini, Masaki Okada (kulia), msaada wa sh. bil.28.2 jijini Dar es Salaam leo.
|

No comments:
Post a Comment