Bi. Khadija Camalow, akiwa na mtoto wake, Hussein Ahmed, nyumbani kwao Mikocheni wakati wa sherehe hiyo.
|
Bi. Khadija Camalow, akiwa na rafiki yake Falastin, wakati wa sherehe hiyo, nyumbani kwao Mikocheni jijini Dar es Salaam.
|
![]() |
| Baadhi ya wachezaji hao, wakipata chakula cha usiku katika hafla hiyo ya kupongezwa. |
![]() |
| Wachezaji wakila chakula walichoandaliwa na wenyeji wao, usiku wa kuamkia leo, ikiwa ni katika kupongezwa kutokana na kufanya vizuri katika michezo yao, waliyokwisha kucheza. |
![]() |
| Bi. Khadija, akiwa pamoja na wachezaji hao wa timu ya Taifa ya Somalia, wakati wakipata mlo wa usiku katika hafla hiyo. |
![]() |
| Mmoja wa wachezaji hao, akizungumza moja kwa moja na Waziri Mkuu wa nchi hiyo, nyumbani kwao Somalia, wakati wa hafla hiyo, wakimhakikishia ushindi na kulinyakua kombe la mashindano hayo. |
![]() |
| Baadhi ya wachezaji hao wa timu ya Taifa ya Somalia, wakiwa tayari kukata keki waliyoandaliwa, kwenye hafla hiyo na wenyeji wao. |
![]() |
| Wachezaji wa timu ya Taifa ya Somalia, wakikata keki waliyoandaliwa, kwenye hafla hiyo na wenyeji wao, Mfanyabiashara Ahmed Hussein Malabow na mkewe, Khadija Camalow. |
![]() |
| Mtoto Iman, naye akikata keki ya kuadhimisha kuzaliwa kwake katika hafla hiyo. |
![]() |
| Kapteni wa timu hiyo, akimpongeza mtoto Iman, kwa kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwake katika hafla hiyo. |
![]() |
| Mfanyabiashara Ahmed Hussein Malabow, akimlisha keki mtoto wa mdogo wake, Iman wakati akiadhimisha siku ya kuzaliwa kwake katika hafla hiyo. Kushoto ni baba wa Iman. |
![]() |
| Balozi wa Somalia nchini Tanzania, Mohamed Duriye, akizungumza katika hafla hiyo. |
![]() |
![]() |
Wachezaji wa timu hiyo, wakipiga picha ya pamoja na wenyeji wao, mwisho wa hafla hiyo. |





















No comments:
Post a Comment