Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na viongozi mbalimbali, alipowasili kufungua Shule ya Sekondari ya Madungu, Wilaya ya Chake chake, Pemba leo, katika kuadhimisha miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar. (Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu)
|
No comments:
Post a Comment