Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake, wakati akiufungua Mkutano wa Mashauriano wa Kanda wa Baraza la Vijana wa Jumuiya ya Madola, Hoteli ya White Sands, jijini Dar es Salaam leo, Januari 29, 2013.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara, akizungumza wakati wa Mkutano wa Mashauriano wa Kanda wa Baraza la Vijana wa Jumuiya ya Madola uliofunguliwa leo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, Hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Profesa Elisante Ole Gabriel, wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mashauriano wa Kanda wa Baraza la Vijana wa Jumuiya ya Madola leo, Hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo, wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Dk. Mohammed Gharib Bila, wakati akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano huo wa vijana leo, Hoteli ya White Sands, jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo, wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Dk. Mohammed Gharib Bila, wakati akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano huo leo, Hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya vijana, washiriki wa mkutano huo, wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Dk. Mohammed Gharib Bila, wakati akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano huo leo, Hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na vijana, washiriki wa mkutano huo, wanaowakilisha makundi mbalimbali ya vijana.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo, wanaowakilisha makundi mbalimbali ya vijana.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo, wanaowakilisha makundi mbalimbali ya vijana.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mkurugenzi wa Maendelea ya Vijana wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Profesa Elisante Ole Gabriel, baada ya kuufungua mkutano wa Mashauriano wa Kanda wa Baraza la Vijana wa Jumuiya ya Madola leo, Hoteli ya White Sands, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara. (Picha zote na Muhidin Sufiani-Ofisi ya Makamu wa Rais)
No comments:
Post a Comment