TANGAZO


Monday, January 14, 2013

Makamu wa Rais, Dk. Bilal aendesha Kikao cha Muungano, Mjini Zanzibar


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd kulia), wakati Makamu alipokuwa akiendesha Kikao cha Muungano kilichofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, mjini Zanzibar leo, Januari 14, 2013. (Picha zote na OMR)


 
 

Baadhi ya Mawaziri wakiwa ukumbini humo wakati
wakifuatilia kikao hicho cha Muumgano kilichoendeshwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, (hayupo pichani), leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, mjini Zanzibar.
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Sazi Salula
 
(kulia) Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Eng.
 
Ngosi Mwihava (katikati) na Mkurugenzi wa Muungano,
 
Rajab Baraka (kushoto) wakifuatilia vifungu katika
 
machapisho ya kujadili masuala ya Muungano, wakati
 
wa kikao cha Muungano, kilichoendeshwa na Makamu wa
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.
 
Mohammed Gharib Bilal (hayupo pchani), kilhanyika leo Januari 14, 2013, katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, mjini Zanzibar.

Baadhi ya Mawaziri wakiwa ukumbini humo wakati wakifuatilia kikao hicho cha 
Muumgano kilichoendeshwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (hayupo pichani), leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, mjini Zanzibar.

Baadhi ya Mawaziri wakiwa ukumbini humo wakati wakifuatilia kikao hicho cha 
Muumgano kilichoendeshwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (hayupo pichani), leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, mjini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment