| Kikosi cha Azam FC, wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wa Fainali na Tusker FC ya Kenya, usiku wa kuamkia leo, Uwanja wa Aman, mjini Zanzibar. |
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd akikabidhi kombe kwa Nahodha wa timu ya Azam FC. Himid Mao Mkami baada ya mchezo wa fainali kwa kuilaza Tusker ya Kenya 2 - 1.
|

No comments:
Post a Comment