Meneja wa benkiya NMB, tawi la NMB House, Bi. Benedictor Byabyato (kulia), akikabidhi madawati 25 yenye thamani ya shilingi milioni 5 kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Victoria, Bw. Sufini Mbwambo iliyopo Dar es Salaam wiki-endi hii. Anayeshuhudia ni Ofisa wa tawi la NMB House, Jane Mubezi na Afisa wa Elimu.
Meneja wa tawi la NMB House, Bi. Benedictor Byabyato (kulia), akiwa pamoja na baadhi wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Victoria pamoja na Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Bw. Sufini Mbwambo (kulia), wakati wa makabidhiano ya madawati yenye thamani ya shilingi milioni 5, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Victoria, wakiimba nyimbo ya kuishukuru benki ya NMB kwa msaada ya madawati waliyotoa shuleni hapo.

No comments:
Post a Comment