TANGAZO


Monday, December 10, 2012

CCM chafanya kikao na Makatibu wake wa Mikoa kuweka mikakati

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana akizungumza katika kikao chake cha Sekretarieti na Makatibu wa CCM wa Mikoa leo, Desemba 10, 2012, katika ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Mwigulu Nchemba.

Katibu wa CCM, Mkoa wa Arusha, Mary (kushoto), akihudhuria kikao hicho pamoja na makatibu wenzake
Katibu wa Sekretaiieti Uchumi na Fedha, Zakia Meghji (kushoto), akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara, Mwigulu Nchemba, wakati wa kikao hicho.

Makatibu wa CCM kutoka mikoani wakiwa katika kikao hicho.
Baadhi ya Makatibu wa Mikoa wakijadili jambo wakati wa kikao hicho. (Picha zote na Kamanda wa Matukio Blog)
 

No comments:

Post a Comment