Waziri wa Uchukuzi, Dk.
Harrison Mwakyembe (aliyevaa pama katikati,akihojiana na abiria alipofanya ziara ya kushtukiza ya
ukaguzi katika Stesheni ya TRL, Dar es Salaam leo kujionea
matatizo yaliyojitokeza baada ya usafiri wa abiria jijini kuanzishwa wiki
hii.
Mwakyembe akitoa maelekezo kwa watendaji wa Reli wakati alipofanya ziara hiyo ya kushtukiza leo.
Waziri wa Uchukuzi, Dk.Harrison Mwakyembe (kushoto), akimwelekeza jambo Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), Mhandisi Kipallo Kisamfu, wakati alipofanya ziara ya kushitukiza Stesheni ya Reli hiyo, Dar es Salaam leo jioni, kujionea changamoto zilizopo baada ya kuanza kwa safari za treni hiyo ya abiria kutoka katikati ya Jiji hadi Ubungo Maziwa.(Picha zote na Dotto Mwaibale)

No comments:
Post a Comment