TANGAZO


Friday, November 23, 2012

Mkutano wa 21 wa Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania, wafungwa rasmi jijini leo

Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi na Posta Masta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Deos Mdeme, akizungumza wakati wa ufungaji wa Mkutano wa 21 wa Baraza hilo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kwenye ufungaji huo, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Patrick Makungu (kulia), kuufunga mkutano huo. (Picha zote na Kassim Mbarouk)

Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa 21 wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania, wakimsikiliza mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Patrick Makungu (hayupo pichani), wakati alipokuwa akiuufunga mkutano wao huo leo jioni.

Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa 21 wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania, wakimsikiliza mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Patrick Makungu (hayupo pichani), wakati alipokuwa akiuufunga mkutano wao huo leo jioni.

Mgeni rasmi katika ufungaji wa Mkutano wa 21 wa Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Patrick Makungu,  akizungumza wakati alipokuwa akiufunga mkutano huo, Dar es Salaam leo. Kulia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi na Posta Masta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Deos Mndeme.

Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi na Posta Masta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Deos Mdeme, akimpongeza mgeni rasmi kwenye ufungaji wa Mkutano wa 21 wa Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Patrick Makungu, kutokana na hotuba yake aliyoitoa kwenye mkutano huo jijini leo.

Mgeni rasmi katika ufungaji wa Mkutano wa 21 wa Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Patrick Makungu (katikati), Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi na Posta Masta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Deos Mdeme (kushoto), wakisikiliza maelezo yaliyokuwa yakitolewa leo na Mjumbe wa COTWU, Makao Makuu, Bahasha Salugole (hayupo pichani), wakati alipokuwa akitoa akishukurani kwa mgeni huyo leo.

Mjumbe wa COTWU, Makao Makuu, Bahasha Salugole, akizungumza katika mkutano huo, wakati alipokuwa akitoa shukurani kwa mgeni, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Patrick Makungu (wa pili kulia), mara baada ya kuufunga mkutano huo jijini leo.

Mgeni rasmi katika ufungaji wa Mkutano wa 21 wa Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Patrick Makungu (katikati waliokaa), akiwa na Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi na Posta Masta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Deos Mndeme katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa shirika hilo.

No comments:

Post a Comment