Mashabiki
wa timu ya Simba wakiwa na mabango yenye ujumbe mbalimbali, Makao Makuu ya klabu
hiyo, Mtaa wa Msimbazi jijini Dar es Salaam leo, kuonesha hasira zao baada ya
timu hiyo kusuasua katika michezo yake ya Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara, ambayo
ilifungwa mabao 2-0 na Mtibwa Sugar, kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Ujumbe kwa golikipa wa Simba, Juma Kaseja.
Pilika pilika Makao Makuu ya
klabu ya Simba, Msimbazi jijini Dar es Salaam. (Picha kwa hisani ya na Habari Mseto Blog)

No comments:
Post a Comment