TANGAZO


Monday, October 1, 2012

Zitto Kabwe alonga Karatu, ataja mabilioni yaliyowekwa Uswiss na Mafisadi


Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Karatu leo, mbele ya mamia ya wanachama wa chama cha Chadema. 
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe akizungumza huku akiwaonesha wananchama na mashabiki wa Chama chake cha Chadema kwenye mkutano huo, uliofanyika mjini Karatu, alama ya chama hicho, ikiwa ni salamu kwa wanachama hao. 
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe akizungumza na wanachama wa Chama hicho, wakati alipokuwa akihutubia mkutano huo wa hadhara mjini Karatu ambapo alizungumzia pia kuhusu mabilioni ya fedha zilizowekwa Uswiss na mafisadi. Pia alizungumzia sababu za Chadema kutaka kuitawala nchi.
 Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe akiunguruma kwenye mkutano wa hadhara Karatu leo mbele ya mamia ya wanachama wa chadema.

 Sehemu ya Umati mkubwa, uliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara, ambao Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe aliunguruma leo. (Picha zote na mdau wetu)

No comments:

Post a Comment