TANGAZO


Wednesday, October 31, 2012

Yanga yaichapa Mgambo mabao 3-0 Ligi Kuu ya Vodacom


Beki wa Yanga, Mbuyi Twite akimpongeza Nadir Haroub ‘Canavaro’ baada ya kufungia timu yake bao la kwanza dhidi ya Mgambo ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Yanga ilishinda 3-0.
 
Mshambuliaji wa Yanga Simon Msuva akimpongeza Nadir Haroub baada ya kufunga bao la kwanza,
 
Didier Kavumbagu na Ramadhan Malima wa Mgambo kwenye mchezo wakichuana katika mchezo huo.

No comments:

Post a Comment