TANGAZO

Sunday, October 21, 2012

Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa afungua maonesho ya miaka 10 ya VICOBA, Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam

 Mwanachama wa Vyama vya kuweka na kukopa (VICOBA), Magreth Mapunda akisoma risala ya asasi hiyo, mblele  Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa (wa pili kulia), aliyekuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa maonesho ya (VICOBA) katika kuadhimisha miaka 10 ya vyama hivyo, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk)

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala, ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Vingunguti, Assa Simba, akizungumza katika uzinduzi wa maonesho ya miaka 10 ya WanaVicoba, ambapo Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa (wa pili kushoto), alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi huo, Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam leo. Wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Makongoro Mahanga.
 
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Makongoro Mahanga, akizungumza wakati wa uzinduzi wa maonesho ya miaka 10 ya VICOBA, Viwanja vya Mnazi Mmoja, ambapo mgeni rasmi katika uzinduzi huo, alikuwa ni Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa ( wa pili kushoto). Kulia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala, ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Vingunguti, Assa Simba na kushoto ni Mratibu wa Vicoba, Aldo Mfinde.

 Baadhi ya wanachama wa Vicoba, wakimsikiliza Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, wakati alipokuwa akiwahutubia katika uzinduzi wa maonesho ya Vyama vya kuweka na kukopa (VICOBA), kuadhimisha miaka 10 ya vyama hivyo, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam leo.

 Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, akihutubia wanachama wa Vicoba, wakati alipokuwa akizindua maonesho ya Vyama vya kuweka na kukopa (VICOBA), kuadhimisha miaka 10 ya vyama hivyo, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam leo.  Kulia ni Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Makongoro Mahanga na kushoto ni Mratibu wa Vicoba, Aldo Mfinde.

Wanachama wa Vyama vya kuweka na kukopa (VICOBA), wakicheza wimbo maalum wa vicoba wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya miaka 10 ya VICOBA, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam leo, ambapo Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi huo.
 
 Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa (katikati), akicheza wimbo maalum wa VICOBA pamoja na wanachama, wakati alipozindua maonesho ya Vyama vya kuweka na kukopa (VICOBA), kuadhimisha miaka 10 ya vyama hivyo, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam leo.

 Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa (katikati), akiwapungia mkono wanachama wa VICOBA baada ya kucheza nao, wimbo maalum wa VICOBA, wakati alipozindua maonesho ya Vyama vya kuweka na kukopa (VICOBA), kuadhimisha miaka 10 ya vyama hivyo, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam leo.

Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, akibonyeza kitufe cha kompyuta ili kuliza kingora cha uzinduzi wa maonesho ya Vyama vya kuweka na kukopa (VICOBA), kuadhimisha miaka 10 ya vyama hivyo, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam leo.

 Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa (katikati), akiwapungia mkono wanachama wa VICOBA mara baada ya akibonyeza kitufe cha kompyuta kwa ajili ya kuzindua maonesho ya Vyama vya kuweka na kukopa (VICOBA), kuadhimisha miaka 10 ya vyama hivyo, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam leo.

 Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, akizungumza na wanachama wa VICOBA mara baada ya kuyazindua maonesho ya Vyama vya kuweka na kukopa (VICOBA), kuadhimisha miaka 10 ya vyama hivyo, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam leo.

Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, akiagana na baadhi ya wanachama wa VICOBA mara baada ya kuyazindua maonesho ya Vyama vya kuweka na kukopa (VICOBA), kuadhimisha miaka 10 ya vyama hivyo, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam leo.
 
 Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, akiagana na Mratibu wa Vicoba, Aldo Mfinde, mara baada ya kuyazindua maonesho ya Vyama vya kuweka na kukopa (VICOBA), kuadhimisha miaka 10 ya vyama hivyo, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam leo. Katikati ni Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Makongoro Mahanga.

 Mratibu wa Vicoba, Aldo Mfinde, akiagana na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala, ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Vingunguti, Assa Simba mara baada ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa kuyazindua maonesho ya miaka 10 ya VICOBA, viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam leo.

 Wanachama wa Vicoba wakiwa kwenye maonesho ya bidhaa zao mara baada ya kuzinduliwa maonesho yao ya maadhimisho ya miaka 10 ya VICOBA nchini, Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment