Wananchi wa Kijiji cha Kidombo, Wilaya ya Kaskazini A, Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakifuatilia kwa makini mkutano ulioitishwa jana tarehe 13 Oktoba, 2012 na Tume ya Mabadiliko ya Katiba kijijini hapo wenye malengo ya kukusanya maoni yao kuhusu mchakato wa Mabadiliko ya Katiba mpya.
Wananchi wa Kijiji cha Kidombo, Wilaya ya Kaskazini A, Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakifuatilia kwa makini mkutano ulioitishwa jana tarehe 13. Oktoba, 2012 na Tume ya Mabadiliko ya Katiba kijijini hapo kwa ajili ya kukusanya maoni yao kuhusu mchakato wa Mabadiliko ya Katiba.
Wananchi wa Kijiji cha Kidombo, Wilaya ya Kaskazini A, Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakifuatilia kwa makini mkutano ulioitishwa jana tarehe 13. Oktoba, 2012 na Tume ya Mabadiliko ya Katiba kijijini hapo kwa ajili ya kukusanya maoni yao kuhusu mchakato wa Mabadiliko ya Katiba.
Said Haji Makame (21), mkazi wa kijiji cha Kidombo, Wilaya ya Kaskazini A, Mkoa wa Kaskazini Unguja, akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya, wakati wa mkutano ulioitishwa jana tarehe 13. Oktoba, 2012 na Tume ya Mabadiliko ya Katiba kijijini hapo.
Yusuph Juma (60), mkazi wa Kijiji cha Kidombo, Wilaya ya Kaskazini A, Mkoa wa Kaskazini Unguja, akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya wakati wa mkutano ulioitishwa jana tarehe 13. OOktoba, 2012 na Tume ya Mabadiliko ya Katiba kijijini hapo.
Tatu Maalim Mganga (65), mkazi wa kijiji cha Kidombo, Wilaya ya Kaskazini A, Mkoa wa Kaskazini Unguja, akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya wakati wa mkutano ulioitishwa jana tarehe 13 Oktoba, 2012 na Tume ya Mabadiliko ya Katiba kijijini hapo.
Riziki Khamis Shukuru (20), mkazi wa kijiji cha Kidombo, Wilaya ya Kaskazini A, Mkoa wa Kaskazini Unguja, akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya wakati wa mkutano ulioitishwa jana tarehe 13 Oktoba, 2012 na Tume ya Mabadiliko ya Katiba kijijini hapo. (Picha zote na Ismail Ngayonga, Ofisa habari wa Tume ya Katiba)
No comments:
Post a Comment