TANGAZO


Thursday, October 4, 2012

Ujerumani yaisaidia Tanzania Euro 190 milioni kwa ajili ya maendeleo na huduma za kijamii

Waziri wa Fedha wa Tanzania, Dk. William Mgimwa, akizungumza wakati wa kusaini msaada wa Euro 190 mil. zilizotolewa na Serikali ya Ujerumani katika kusaidia mambo mbalimbali ya maendeleo nchini, ikiwemo afya, nishati na huduma nyingine mbalimbali za kijamii. Kulia ni Balozi wa Ujerumani nchini, Klaus-Peter Brandes. (Picha zote na Kassim Mbarouk)
 
Balozi wa Ujerumani nchini, Klaus-Peter Brandes, akizungumza wakati wa hafla hiyo ya kusaini msaada wa Euro 190 mil. Dar es Salaam leo, zilizotolewa na Serikali ya Ujerumani kwa ajili ya  kusaidia mambo mbalimbali ya maendeleo nchini, ikiwemo afya, nishati na huduma nyingine za kijamii. Kushoto ni Waziri wa Fedha wa Tanzania, Dk. William Mgimwa.

Waziri wa Fedha wa Tanzania, Dk. William Mgimwa (kushoto), akimshukuru Balozi wa Ujerumani nchini, Klaus-Peter Brandes, mara baada ya kusaini msaada wa Euro 190 mil. Dar es Salaam leo, zilizotolewa na Serikali ya Ujerumani kwa ajili ya kusaidia mambo mbalimbali ya maendeleo nchini, ikiwemo afya, nishati na huduma nyingine za kijamii.

Waziri wa Fedha wa Tanzania, Dk. William Mgimwa (kushoto), akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari, mara baada ya kusaini msaada huo wa Euro 190 mil. Dar es Salaam leo, zilizotolewa na Serikali ya Ujerumani kwa ajili ya kusaidia mambo mbalimbali ya maendeleo nchini, ikiwemo afya, nishati na huduma nyingine za kijamii. Kulia ni Balozi wa Ujerumani nchini, Klaus-Peter Brandes.

Waziri wa Fedha wa Tanzania, Dk. William Mgimwa (kushoto), akiagana na Balozi wa Ujerumani nchini, Klaus-Peter Brandestoa, mara baada ya kumalizika hafla ya kusaini msaada wa Euro 190 mil. Dar es Salaam leo, zilizotolewa na Serikali ya Ujerumani kwa ajili ya kusaidia mambo mbalimbali ya maendeleo nchini, ikiwemo afya, nishati na huduma nyingine za kijamii.

No comments:

Post a Comment