Tume ya Katiba yafafanua kuhusu ushiriki wa makundi mbalimbali katika kutoa maoni na kuanza awamu ya tatu ya ukusanyaji maoni
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (katikati), akizungumza na waaandishi wa habari (hawapo pichani), Dar es Salaam leo, Oktoba 9, 2012, kuhusu kumalizika kwa awamu ya pili ya kazi ya ukusanyaji wa maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya na kuanza kwa awamu mpya ya tatu iliyoanza juzi Jumatatu Oktoba 8, 2012, katika mikoa 9 nchini. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa tume, Jaji Mkuu mstaafu, Augustino Ramadhani na kulia ni Katibu wa Tume, Assaa Rashid. (Picha zote na Tume ya Katiba)

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (katikati), akionesha nakala ya gazeti la Jambo Leo la tarehe 20 Septemba, 2012 linalowaonesha wafungwa na mahabusu wa gereza la Wilaya ya Mbinga, mkoani Ruvuma wakitoa maoni yao, kuhusu Katiba Mpya wakati wa Mkutano wake na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali, jijini Dar es Salaam leo Oktoba 9, 2012 katika Ofisi za Makao Makuu ya tume hiyo. Jaji Warioba alikuwa akitoa ufafanuzi kuhusu ushiriki wa makundi maalum ikiwemo wafungwa na mahabusu kuhusu Katiba Mpya. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mkuu mstaafu, Augustino Ramadhani na kulia ni Katibu wa Tume, Assaa Rashid.
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (kulia), akizungumza na waaandishi wa habari (hawapo pichani), jijini Dar es Salaam leo, Oktoba 9, 2012 kuhusu kumalizika kwa awamu ya pili ya kazi ya ukusanyaji wa maoni ya wananchi juu ya Katiba Mpya na kuanza kwa awamu mpya ya tatu iliyoanza juzi, Jumatatu Oktoba 8, 2012 katika mikoa 9 nchini. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti Jaji Mkuu mstaafu Augustino Ramadhani.

No comments:
Post a Comment