Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binaadamu na Utawala Bora, Jaji Kiongozi mstaafu, Amiri Ramadhan Manento (katikati), akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani), Dar es Salaam leo Oktoba 10, 2012, wakati akitoa muhtasari wa taarifa ya Uchunguzi wa Tume yake, kuhusu tukio lililopelekea kifo cha Daudi Mwangosi, kilichotokea Septemba 2, 2012, kijijini Nyololo, Wilaya ya Mufindi, mkoani Iringa. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Tume hiyo, Mahfoudha A. Hamid na kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu wa tume, Florida Kazora.
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binaadamu na Utawala Bora, Jaji Kiongozi mstaafu, Amiri Ramadhan Manento (katikati), akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani), Dar es Salaam leo Oktoba 10, 2012, wakati akitoa muhtasari wa taarifa ya Uchunguzi wa Tume yake, kuhusu tukio lililopelekea kifo cha mwandishi wa habari wa Chanel Ten, Daudi Mwangosi hapo Sept 2, 2012 kikijijni Nyololo, Wilaya ya Mufindi, mkoani Iringa. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Tume hiyo, Mahfoudha A. Hamid.

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Jaji Kiongozi mstaafu, Amiri Ramadhan Manento, akionesha taarifa kwa waandishi wa habari hawapo pichani leo, jijini Dar es Salaam kuhusu Muhtasari wa wa Taarifa ya tume yake ya Uchunguzi wa tukioa lililopelekea kifo cha Mwandishi wa habari wa kituo cha Chanel Ten, Daudi Mwangosi kilichotokea Septemba 2, 2012, kijijini Nyololo, Wilaya ya Mufindi, mkoani Iringa.
Makamu Mwenyekiti wa TUME, Mahfoudha Mahid (kushoto), akifafanua jambo kwa waandshi wa habari (hawapo pichani), wakati tume hiyo ilipowasilisha taarifa ya ripoti yake kuhusu kifo cha Daud Mwangosi jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Jaj Kiongozi mstaafu, Amiri Ramadhan Manento.
Mandhari ya ukumbi wa mkutanowa Ofisi ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora jijini Dar es Salaam, wakati wa mkutano huo na waandishi wa habari leo.
No comments:
Post a Comment