Mkurugenzi Mtendaji wa Muungano wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali Tanzania (TANGO), Ngunga Tepani, akiangalia moja ya kompyuta, zilizotolewa pamoja na skana, printa na king’amuzi cha inteneti, na TradeMark East Afrika (TMEA), Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkurugenzi Mkazi wa TMEA, Paulina Elago.
Mkurugenzi Mtendaji wa Muungano wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali Tanzania (TANGO), Ngunga Tepani, akizungumza katika hafla ya makabidhiano hayo. Kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa TMEA, Paulina Elago. (Picha zote kwa hisani ya Habari Mseto Blog)

No comments:
Post a Comment