Rais wa Zanzibar, Dk. Shein aufunga Mkutano Mkuu wa UVCCM, mjini Dodoma
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 8 wa UVCCM, wakishangilia baada ya kutangazwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya hiyo, Khamis Sadifa Juma, baada ya kushika nafasi hiyo katika Uchaguzi Mkuu wa umoja huo, uliomalizika leo katika ukumbi wa Chuo cha Mipango, mjini Dodoma na kufungwa rasmi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Dk. Ali Mohamed Shein. .(Picha na Ramadhan Othman Dodoma)
Makamo Mwenyekiti wa UVCCM, Mboni Mohamed Mkita, akinyanyua mikono juu kwa furaha baada ya kutangazwa kushika nafasi hiyo, aliposhinda katika Uchaguzi Mkuu wa nane, uliofanyika mjini Dodoma katika ukumbi wa Chuo cha mipango.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Dk. Ali Mohamed Shein, akimpongeza Mwenyekiti Mpya wa Umoja wa Vijana UVCCM, Khamis Sadifa Juma, baada ya kuchaguliwa kushika nafasi hiyo, wakati alipofika kufunga Mkutano Mkuu wa nane (8) wa Jumuiya hiyo, uliomalizika leo katika Ukumbiwa Chuo cha Mipango, nje kidogo ya mji wa Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa nane wa UVCCM Taifa, kutoka Mikoa mbali mbali, wakishangilia ushindi wa Mwenyekiti mpya Khamis Sadifa Juma, (hayupo pichani), baada ya kutangazwa kuwa mshindi katika mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo, uliofanyika Mjini Dodoma katika ukumbi wa Chuo cha Mipango.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Dk. Ali Mohamed Shein (katikati), Katibu Mkuu wa CCM Taifa Willson Mkama, Naibu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar,Vuai Ali Vuai (kulia), wakiwapongeza Mwenyekiti Mpya wa UVCCM, Khamis Saifa Juma (wa pili kushoto) na Makamu Mwenyekiti wa UVCCM, Mboni Mohamed Mkita (kushoto), baada ya kutangazwa kushika nafasi hizo katika uchaguzi Mkuu wa Nane (8), uliomalizika leo katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Mjini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa nane wa UVCCM Taifa, kutoka Mikoa mbali mbali, wakishangilia ushindi wa Mwenyekiti Mpya, Khamis Sadifa Juma (hayupo pichani), baada ya kutangazwa kuwa mshindi katika mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo, uliofanyika Mjini Dodoma katika ukumbi wa Chuo cha Mipango.
Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa nane wa UVCCM Taifa, kutola Mikoa mbali mbali, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Dk. Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizumgumza wakati akiufunga Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo uliofanyika Mjini Dodoma katika ukumbi wa Chuo cha Mipango, uliomchagua Mwenyekiti Mpya wa jumuiya ya UVCCM, Khamis Sadifa Juma na Makamo Mwenyekiti wa UVCCM, Mboni Mohamed Mkita.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Dk. Ali Mohamed Shein, akizumgumza wakati akiufunga Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo, uliofanyika Mjini Dodoma katika ukumbi wa Chuo cha Mipango, uliomchagua Mwenyekiti Mpya wa jumuiya ya UVCCM, Khamis Sadifa Juma na Makamo Mwenyekiti wa UVCCM, Mboni Mohamed Mkita.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Dk.Ali Mohamed Shein, akimpongeza Mwenyekiti Mpya wa Umoja wa Vijana UVCCM,Khamis Sadifa Juma, baada ya kuchaguliwa kushika nafasi hiyo,wakati alipofika kufunga Mkutano Mkuu wa nane (8) wa Jumuiya hiyo iliomalizika jana katika Ukumbi wa Chuo cha Mipango Nje ya Mji wa Dodoma.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Dk. Ali Mohamed Shein, alipokuwa akiagana na Mwenyekiti Mpya wa jumuiya ya UVCCM, Khamis Sadifa Juma, alipomaliza shuhuli ya kuufunga Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo uliofanyika Mjini Dodoma katika ukumbi wa Chuo cha Mipango.
No comments:
Post a Comment