Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akiweka jiwe la msingi kuashiria kuanza rasmi ujenzi wa jengo la Ubalozi wa Tanzania nchini Oman katika mtaa wa Balozi jijini Muscat Oman jana. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe. Watatu kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Oman Ali Ahmed Saleh na kulia ni Ofisa Mwandamizi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Oman, Abdallah Kilima.

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akizindua ujenzi wa jengo la Ubalozi wa Tanzania nchini Oman jana. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe, wa pili kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Oman, Ali Ahmed Saleh, wa nne kulia ni Ofisa Mwandamizi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Oman, Abdallah Kilima na kulia anayeshuhudia ni ofisa katika ubalozi wa Tanzania Oman, Saidi Mussa. (Picha zote na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment