TANGAZO


Tuesday, October 9, 2012

Rais Kikwete arejea nchini akitokea ziara ya nchi za Marekani na Canada


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, akipokewa  na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere baada ya kurejea nchini leo Jumanne, Oktoba 10, 2012, akitokea katika ziara ya kikazi ya nchi za Marekani na Canada.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, akilakiwa  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na Uongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam, baada ya kurejea nchini leo Jumanne, Oktoba 10, 2012, akitokea katika ziara ya kikazi ya nchi za Marekani na Canada. Kushoto ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, akilakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere baada ya kurejea nchini leo Jumanne, Oktoba 10, 2012, akitokea katika ziara ya kikazi ya nchi za Marekani na Canada.


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, akiongea na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere baada ya kurejea nchini leo Jumanne, Oktoba 10, 2012, akitokea katika ziara ya kikazi ya Marekani na Canada.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, akiongea na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Waziri wa Sheria na Katiba, Celina Kombani, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Steven Wassira, Naibu Waziri wa Kilimo,  Adama Malima na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara baada ya kurejea nchini leo Jumanne, Oktoba 10, 2012, akitokea katika ziara ya kikazi nchi za Marekani na Canada.

No comments:

Post a Comment