TANGAZO


Friday, October 12, 2012

Rais Kikwete aifariji familia ya marehemu Walid Juma

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akiifariji  familia ya aliyekuwa Kamishna wa Ushuru wa Foradha, marehemu Walid Juma nyumbani kwake, Upanga jijini Dar es Salaam leo. Marehemu Walid, amezikwa leo katika makaburi ya Kisutu jijini. (Picha zote na Freddy Maro)

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiomba dua pamoja na familia ya  aliyekuwa kamishna wa Ushuru wa Foradha, marehemu Walid Juma nyumbani kwake, Upanga jijini Dar es Salaam leo. Marehemu Walid  amezikwa leo katika makaburi ya Kisutu jijini.

No comments:

Post a Comment