Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Augustino Mrema wakati alipowasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro leo Oktoba 28, 2012, tayari kuanza ziara ya siku nne ya Mkoa wa Kilimanjaro akianzia Wilaya ya Same.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na baadhi ya makada wa CCM na viongozi wa Wilaya ya Same mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), leo Oktoba 28, 2012 tayari kuanza ziara ya siku nne ya Mkoa wa Kilimanjaro akianzia Wilaya ya Same.
Vikundi vya ngoma vikitumbuiza wakati Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipowasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro leo, Oktoba 28, 2012 tayari kuanza ziara ya siku nne ya Mkoa wa Kilimanjaro akianzia Wilaya ya Same.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa na vikundi vya ngoma za jadi wakati alipowasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro leo, Oktoba 28, 2012, tayari kuanza ziara ya siku nne ya Mkoa wa Kilimanjaro akianzia Wilaya ya Same.
Viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Kilimanjaro, wakiwa wamejipanga tayari kumpokea Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati alipowasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro leo Oktoba 28, 2012 tayari kuanza ziara ya siku nne ya Mkoa wa Kilimanjaro akianzia Wilaya ya Same.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wananchi wakati alipowasili katika uwanja wa stendi ya Same Kuhutubia mkutano wa hadhara leo Oktoba 28, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwahutubia wananchi katika uwanja wa stendi ya Same, alipowasili leo kuanza ziara yake ya siku nne katika Mkoa wa Kilimanjaro. (Picha zote na Ikulu)









No comments:
Post a Comment