Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi na Uenezi, Nape
Nnauye akihutubia mamia ya wananchi katika mkutano wa kufunga kampeni za CCM za
udiwani Kata ya Bugarama, Kahama mkoani Shinyanga, jana Oktoba 27.
Katibu wa Halmashauri
Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akihutubia mkutano wa
kampeni a uchaguzi mdogo wa Udiwani Kata ya Bugarama, Kahama mkoani Shinyanga.
Wananchi katika kata
ya Bugarama , Kahama mkoani Shinyanga, wakishangilia wakati wa kufunga kampeni
za CCM za uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata hiyo.
Mbunge wa Msalala,
Ezekiel Maige (kushoto), akimlaki Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM,
Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye alipowasili Kahama mkoani Shinyanga kwa ajili ya
kufunga kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Bugarama, mkoani humo. Kulia
ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kahama, Mabala Mlolwa.
Katibu wa Halmashauri
Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akisalimiana kwa furaha na
Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Shinyanga Hamis Mgeja walipokutana katika Kata ya
Kakola, kabla ya kwenda kwenye mkutano wa kufunga kampeni za udiwani za CCM
kata ya Bugarama mkoani humo.
Katibu wa Halmashauri
Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Mbunge wa Msalala,
Ezekiel Maige wakishiriki kucheza ngoma ya Baswezi, katika kijiji cha Buyange,
Kata ya Bugarama, Kahama mkoani Shinyanga wakati wa mkutano wa kufunga kampeni
za udiwani za CCM kata ya Bugarama.
Katibu wa Halmashauri
Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Mwenyekiti wa CCM, Mkoa
wa Sinyanga, Hamis Mgeja wakishiriki kucheza ngoma ya Baswezi kwenye mkutano wa
kampeni za udiwani kata ya Bugarama mkoani humo.
Madiwani wa Kata za
Kahama wakiwa na mgombea Udiwani wa CCM, Kata ya Bugarama katika Wilaya hiyo,
Nixon Ikoko wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za udiwani katika kata hiyo,
uliohutubiwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi,
Nape Nnauye.
Katibu wa Halmashauri
Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akimsikiliza kwa makini
Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige wakati akimuombea kura mgombea udiwani
wa CCM Kata ya Bugarama, kwenye mkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika
mji mdogo wa Bugarama.
Katibu wa Halmashauri
Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akimnadi mgombea wa Udiwani
kata ya Bugarama, Nixon Igogo kwenye mkutano wa kufunga kampeni za udiwani za
CCM.
Katibu wa Halmashauri
Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye Mbunge wa Msalala, Ezekiel
Maige wakiwa na watafiti wa madini kutoka kampuni ya Majordrilling,
katika kijiji cha Kakola wilayani Kahama mkoani Shinyanga.
Wazee wakifuatilia
kwa makini hotuba ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na
Uenezi, Nape Nnauye alipohutubia mkutano wa kufunga kampeni za udiwani za CCM
Kata ya Bugarama, Kahama mkoani Shinyanga.
Akina mama wakifuatilia
kwa makini hotuba ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na
Uenezi, Nape Nnauye, Kata ya Bugarama , Kahama mkoani Shinyanga.
Mzee wa miaka 98,
Nickson Toma akifuatilia kwa makini mkutano wa kampeni za udiwani Kata ya
Bugarama mkoani Shinyanga uliohutubiwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya
CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.
Katibu wa Halmashauri
Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akicharaza ngoma kwenye
mkutano wa kampeni za udiwani Kata ya Bugarama, Kahama mkoani Shinyanga.
Katibu wa Halmashauri
Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiwa na Mwenyekiti wa CCM
mkoa wa shinyanga, Hamis Mgeja baada ya mkutano wa kufunga kampeni za udiwani
za CCM Kata ya Bugarama mkoani humo, jana, Oktoba 27, 2012.

















No comments:
Post a Comment